| ||
Script: Katika hatua ya tatu ya mimba, kukua kwa haraka kwa ubongo huchukua zaidi ya 50% ya nguvu inayo tumika na kijusu. Uzito wa ubongo huongezeka kati ya 400 na 500%. | ||
All ages referenced to fertilization, not last menstrual period. One month = 4 weeks. |