| ||
Script: WIKI 5 Kati ya wiki 4 na 5, ubongo uendelea kukua kwa haraka na kujigawa katika sehemu tano mahuzusi(ada). Kichwa hujumuisha karibu 1/3 wa ujumla wa sehemu za kijitoto. kizio wa ubongo hujitokeza, na pole pole pole ikakua na kuwa sehemu kubwa zaidi ya ubongo Kazi zitakazotekelezwa na ubongo, ni kama vile, fikira, kujifunza, fikira,kuongea,kuona, kuzikia, mienendo ya viungo na kutatua mambo. | ||
All ages referenced to fertilization, not last menstrual period. |