Script: Mfuko -maji huwa na chembe uzazi za mwanzo Zaitwazo chembe zalishi chipuzi Kufikia wiki 5 hivi chembe chipuzi huhamia sehemu za uzazi karibu na figo.