| ||
Script: Migawanyiko mine ya moyo huwa imekamilika kwa kiwango kubwa. Kwa ujumla,moyo kwa sasa hupiga mara 167 kwa dakika. mifanyiko ya kiistima moyoni uliowai kurekodiwa katika wiki 7 ½ hudhiirisha miundo masafa kama ya mtu mzima. | ||
All ages referenced to fertilization, not last menstrual period. |