| ||
Script: Kufikia siku 3-4 Baada ya kutunga mimba chembechembe yanayo gawanyika ya embryoni huwa na umbo wa kibiringo na embryoni huu huitwa morula. Kufikia siku 4-5, mwanya huumbika Katika hizi chembe nayo embryonic ukaitwa blastosaikot. chembe ndani ya blastosaikot zaitwa chembe mrundiko ay chembe za ndani nayo huunda kichwa,mwili na sehemu muhimu zote ya binadamu huyu changa. | ||
All ages referenced to fertilization, not last menstrual period. |