Script: Kufikia wiki ya 12 Urefu ya mikono Utakuwa umekua na kufikia kiwango chake cha kawaida. Miguu huchukua muda Kufikia kiwango chake sawa sawa.