WEBVTT 00:00.000 --> 00:09.033 MIEZI 9 00:11.300 --> 00:13.267 Kijusu huanza kusababisha utungu ya uzazi 00:13.300 --> 00:17.367 kwa kutoa kwa kiwango kikubwa cha homoni yaitwao estrojeni 00:17.400 --> 00:23.700 na hivo kuanzisha hali kutoka kwa kijusu na kuwa mtoto changa. 00:23.733 --> 00:27.233 utungu ya uzazi husababishwa na mfutano wa chumba cha mtoto, 00:27.267 --> 00:32.633 na kusababisha kuzaliwa kwa mtoto.