WEBVTT 00:00.000 --> 00:02.200 Katika wiki 8 za kwanza 00:02.233 --> 00:04.867 ukuaji wa kijusu cha binadamu huitwa embryoni(embryo) 00:04.900 --> 00:09.467 na humaanisha "kukua ndani". 00:09.500 --> 00:12.467 wakati huu, huitwao wakati wa kiembryoni, 00:12.500 --> 00:14.467 huhusishwa na kuambwa 00:14.500 --> 00:17.167 Kwa mifumo muhimu ya viungo vya mwili.