WEBVTT 00:00.933 --> 00:04.600 Kuanzia wiki ya 8 hadi mwisho wa mimba 00:04.633 --> 00:06.767 " binadamu umbile uitwa kijusu" 00:06.800 --> 00:11.667 kinacho maanisha "mwana ambaye hajazaliwa" 00:11.700 --> 00:14.967 Katika wakati huu, huitwao wakati wa ujusu, 00:15.000 --> 00:20.733 mwili hukua zaidi na Sehemu zake kuanza kufanya kazi.