WEBVTT 00:00.000 --> 00:02.467 Ijapokuwa kujinyoosha huanza, Katika wiki ya 6, 00:02.500 --> 00:05.600 mwanamke mja mzito huanza kuhisi miondogo hizi za mtoto 00:05.633 --> 00:09.233 kati ya wiki 14 n 18. 00:09.267 --> 00:12.633 Kidesturi tokeo hili huitwa "harakisho".