WEBVTT 00:00.000 --> 00:00.000 Kufukia wiki 6 00:00.033 --> 00:02.600 nayo damu uanza kuumbwa katika maini 00:02.633 --> 00:04.1000 ambamo chembe ziitwazo lymphosit kwa wakati huu upo. 00:05.033 --> 00:06.767 Hivi aina ya chembe mweupe wa damu 00:06.800 --> 00:10.867 ni muhimu katika huumbaji wa kinga mwilini. 00:10.900 --> 00:12.133 Sehemu ya kifua 00:12.167 --> 00:14.167 misulu muhimu ya kufutia pumzi, 00:14.200 --> 00:16.967 huumbika zaidi kufikia wiki 6.