| ||
Script: Kijitoto anaanza kuwa na nguvu wa kucheza Wakati huu. Kujinyoosha waweza kuwa haraka au pole pole, mara moja au mingi, Kwa hisia au bila. Kuzungusha kichwa, kupindua shingo, na mkono kufikia usoni Ujitokeza zaidi. | ||
All ages referenced to fertilization, not last menstrual period. |