Script: MIEZI 3-WIKI 11 SIKU 3
Ijapokuwa uzazi wa mtoto huamuliwa wakati wa kutunga mimba, sehemu ya nje ya sehemu za siri yadhihirika Kama ni mume au kike.