| ||
Script: Kufikia wakati huu, figo hutoa makochoo na huelekezwa katika kile mfuko maji uliofunika mtoto kwa mtoto mume, makende zaanza Kutoa mbegu za uzazi. Mifupa, viunganishi, misulu,michocheo, na mifereji ya damu katika maungo ya juu na chini hufanana na ya mtu mzima. | ||
All ages referenced to fertilization, not last menstrual period. |