| ||
|
Script: WIKI 6 Kufikia wiki ya 6 kizio ya ubongo unazidi kukua Zaidi kuliko sehemu nyinginezo za ubongo. Kijitoto huanza Kujinyoosha na kuanza kuhisi. Kujinyoosha huku ni muhimu Kwa ukuaji bora wa michocheo-hisia na misuli. | ||
| All ages referenced to fertilization, not last menstrual period. |