Script: Kuanzia wiki 19 miondogo ya kijusu, Kupumua, na mpigo wa moyo huanza kufuata utaratibu maalum kila siku huitwao rithimu ya "Zakadiani".