| ||
Script: MIEZI 5 Kufikia wiki 20 "koklea" ambacho ni kiungo cha kusikia, umefikia kiwango cha mtu mzima ndani ya sehemu ilikamilika mwa sehemu ya ndani ya masikio. Kuanzia sasa na kuendelea, kijusu ataanza kuhisi Sauti ya vipimo mbali mbali. | ||
All ages referenced to fertilization, not last menstrual period. One month = 4 weeks. |